Virusi vya corona bado vyaendelea kusababisha maafa

Watu zaidi   ya  500 000 ya ekwishafariki kutokana na maambukizi ya virusi vya corona

1442422
Virusi vya corona bado vyaendelea kusababisha maafa
super covid19 abd
India.jpg
Chris Shongo.jpg


Watu zaidi  ya  500 000 wameripotiwa kufariki kutokana na maambukizi ya virusi vya corona tangu kaunza kwake.

Licha ya kuondolewa na marufuku  iliokuwa imewekwa katika mataifa tofauti ulimwenguni kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, idadi ya vifo na maambukizi yaendelea kushuhudiwa huku na kule.

Marekani kwa sasa imekabiliwa  kwa kiasi kikubwa na maambukiz ya virusi hivyo  na idadi ya maambukizi kuonekana kuendelea kuongezeka.

Watu zaidi ya  479 900 wamefariki  ulimwenguni kutokana na  virusi hivyo.
Kesi  za maambukizi ya virusi hivyo nchini Marekani  imeripotiwa kufikia watu  milioni 9,36.

Watu   milioni 5,1 wamepona maambukizi baada ya kupatiwa matibabu.
Nchini Marekani ni watu  123 476 wamefariki  huku watu   milioni 2,42 wamegunduliwa kuwa na maambukizi, idadi hiyo ikiafahamshwa ya kwamba inatia hofu katika jamii.

Nchini Brasil, mahakama imemtaka rais Jair Bolsonaro kuvaa barakoa  katika maeneo ya umma  na kuwatahadharisha raia ambao pia watakiuka sheria  watatozwa faini ya  thamani ya dola    500.

Watu  52 771 wamekwishafariki kutokana na maambukizi ya virusi hivyo huku watu  milioni  1,15 wakşwa wamegunduliwa kuwa na maambukizi ya virusi hivyo.Habari Zinazohusiana