Mashau ya tano na ya mwisho ikiwa na mafuta kutoka Iran yakaribia Venezuela

Mashua ya tano  iliobeba  mafuta kutoka Iran kuelekea nchini Venzuela imekaribia kwa usalama katika bahari milki ya Venezuela

1427786
Mashau ya tano na ya mwisho ikiwa na mafuta kutoka Iran yakaribia Venezuela

Mashua ya tano  iliobeba  mafuta kutoka Iran kuelekea nchini Venzuela imekaribia kwa usalama katika bahari milki ya Venezuela ndani ya mipaka yake ya majini.

Kama inavyofahamisha ni kwamba mashua hiy ya mafuta ni ya tano na ya mwisho kutoka nchini Iran ikiwa na mafuta kuelekea nchini Venezuela.

Venezuela ni taifa pia miongoni mwa mataifa makubwa yenye mafuta ulimwenguni.

Katika taarifa iliotolewa kupitia ukurasa wa Twitter wa jeshi la majini nchini Venezuela, ujumbe huo umesema kwamba mashua hiyo kutoka nchini Iran kwa jina la Clavel imeingia katika  mpaka wa majini wa Venezuela  kwa amani ikilindiwa usalama.

Kituo cha runinga cha taifa  nchin humo Venezuela  kimetoa taarifa  ya kwamba mashua  "Fortune", "Forest", "Petunia", "Faxon" na "Clavel"  zimewasili nchini  zikiwa na mapipa  milioni  1,5 ya mafuta.

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amesema kuwa mafuta hayo  yalionunuliw akutoka nchini Iran yatauzwa nchini Venezuela.Habari Zinazohusiana