Timu ya Galatasaray Uturuki yakemea  ubaguzi   ulimwenguni

Timu ya  kabumbu  ya #Galatasaray ya Uturuki  yakemea ubaguzi ulimwenguni

1426720
Timu ya Galatasaray Uturuki yakemea  ubaguzi   ulimwenguni


Timu ya  kabumbu  ya #Galatasaray ya Uturuki  yakemea ubaguzi ulimwenguni.

Timu ya kabumbu  ya Galatasaray ya #Uturuki imekemea matendo ya kibaguzi   katika ujumbe wake iliouambatanisha na picha ya George Floyd, mmarekani mweusi alieuawa na afisa wa jeshi la polisi wa Marekani aliemkandamiza na goti shingoni  kwa muda wa dakika kadhaa hadi kupoteza uhaia.

Tukio hilo limetokea #Minneapolis na kuzua   maandamano makubwa  kote nchini Marekani kukemea kitendo hicho cha kinyama.

Timu hiyo ya Galatasaray imekemea vikali kitendo hicho  kwa kusema kuwa ubaguzi wa rangi  ni tishio kubwa ulimwenguni   kwa hali yeyote  ubaguzi  huo utatendeka.

Kifo cha George Floyd kimewagusa wengi ulimwenguni na kukemea  ubaguzi wa rangi.Habari Zinazohusiana