Ujumbe wa rais Erdoğan kwa waislamu wa Marekani

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  amesema  kuwa  kamwe  Uturuki  haitofumbia macho  hali yeyote isiostahili kuithibu ardhi ya wapalestina

1423264
Ujumbe wa rais Erdoğan  kwa waislamu wa Marekani
Usame Cemal.jpg
cumhurbaskani erdogan.jpg

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan  amesema  kuwa  kamwe  Uturuki  haitofumbia macho  hali yeyote isiostahili kuithibu ardhi ya wapalestina.

Rais wa Uturuki ametuma ujumbe kwa njia ya video  kuhusu siku kuu ya Eid al Fitri  na kutoa mkono wa Eid kwa waislamu wa Marekani.

Katika ujumbe wake huo rais Erdoğan amesema kuwa Uturuki inawatakia siku kuu njema ya Eid na kuendelea kufahamisha kuwa ana imani  kuwa  muumba itafanya siku zote   za siku kuu kuwa  na ujumbe wa  kipindi cha amani na maridhiano kwa waislamu wote na binadamu wote  katika pembe nne za dunia.

Ni kwa ujumbe huo rais Erdoğan ameanza kusikika katika video aliotoa kuhusu siku kuu ya kusherekea kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Rais Erdoğan akizungumza kuhusu virusi vya corona , amesema kuwa hakuna taifa ulimwenguni wala eneo lolote ambalo linaweza kudai kuwa kiongozi au kuwa juu ya mataifa mengine.

Jiji la Yerusalemu ni kibla chetu cha kwanza na  mji mtakatifu kwa imani zetu tatu  amkumbusha rais Erdoğan. Habari Zinazohusiana