Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza na  osep Borrell

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza na muakilishi mkuu wa Umoja wa Ulaya

1422499
Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza na  osep Borrell


Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki azungumza na muakilishi mkuu wa Umoja wa Ulaya.

Mevlüt Çavuşoğlu, waziri wa mambo  ya nje  wa Uturuki azungumza na muakilishi  mkuu wa Umoja wa Ulaya Josp Borrelle, muakilishi wa masuala ya ushirikiano.

Borrelle anamzungumza na waziri huyo wa mambo ya nje wa Utuurki kuhusu ushirkiano katika ya wanachama wa Umoja wa Ulaya kisiasa na usalama.

 Kulingana na taarifa zilizolewa na wizara hiyo ya mambo ya nje ,  mazungumzo kati ya Mevlüt Çavuşoğlu na  na Josep Borrell  yamegubikwa pia kuhusu  ushirikiano kati  ya Uturuki  na Umoja wa Ulaya na mwenendo wa Israel nchini ya Palestina.Habari Zinazohusiana