Kesi za corona ulimwenguni

Maambukizi na idadi ya waliopona

1422312
Kesi za corona ulimwenguni

Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa sababu ya covid-19 imezidi 338,000. Idadi ya kesi imezidi 5,269,000, na idadi ya waliopona ikiwa 2,136,000.

Huko Algeria, vifo vimeongezeka hadi 562 baada ya watu wengine 7 kupoteza maisha.

Idadi ya kesi imeongezeka hadi  7918 na kugundulika kuwa atu 190 wameambukizwa virusihivyo ndani ya masaa 24 yaliyopita.


Nchini Saudi Arabia, watu wengine 13 wamepoteza maisha kutokana na covid-19, huku vifo vikiongezeka mpaka kufikia 364.

Nchini Iraq, watu 7 zaidi wamepoteza maisha na kesi mpya za maambukizi 87 zimegundulika.

Baada ya watu wengine wawili kupoteza maisha nchini Qatar, idadi ya vifo imefikia 19.

Libya imetangaza kuwa na vifo 3 na idadi ya kesi 72.Habari Zinazohusiana