Watu zaidi ya milioni 5  wameambukiwa virusi vya corona

Watu zaidi  ya milioni 5 ulimwenguni  wameambukiwa virusi vya corona

1421617
Watu zaidi ya milioni 5  wameambukiwa virusi vya corona


Watu zaidi  ya milioni 5 ulimwenguni  wameambukiwa virusi vya corona.

Watu zaidi ya milioni  5 na laki 1 wameripotiwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona ykimwenguni.

Idada ya watu wanaofariki  kutokana na virusi vya corona ulimwenguni  bada inaripotiwa kuongezeka  licha ya kuwa kunaonekana matumaini yanayojitokeza katika zoezi la kukabiliana na virusi virusi hivyo.

Watu   milioni  2 na laki 6 wamepona maambukizi ya virusi hivyo  baada ya kupatiwa matibabu .

Ulimwenguni kote ni watu  333 000 ndio ambao wamekwishafariki kutoka na virusi hivyo tangu kuanza kwake mwishoni mwa mwaka  2019 Wuhan nchini China.

Nchini Italia , watu   156 wamefariki ndani ya masaa  24  na kupelekea idadi ya vifo kuongezeka hadi watu  32486.

Nchini Ufaransa,  idadi ya vifo imeripotiwa kupungua  ambapo ni watu 83 wamefariki ndani ya masaa  24 kutokana na virusi hivyo.

 Watu 28215  kwa ujumla ndio watu waliofariki nchini Ufaransa tangua kuanza kwa janga la virusi hivyo.

Nchini Uhispania , watu    chini ya  100 ndio  walioripotiwa kufariki tangu kuanza kwa janga hilo   kulikumba taifa  hilo.

Ni idadi ndogo kuwahi kutokea tangu  kuanza kwake.Habari Zinazohusiana