Turkish Airlines yaongeza muda  uliokuwa umepangwa kuanza safari

Shirika la ndege la Uturuki  la THY limefahamisha kuongeza muda uliokuwa umepangwa kwa kuanza safari zake

1421663
Turkish Airlines yaongeza muda  uliokuwa umepangwa kuanza safari


Shirika la ndege la Uturuki  la THY limefahamisha kuongeza muda uliokuwa umepangwa kwa kuanza safari zake.

Shirik ala ndege la Uturuki la Turkish Airlines limesema kuwa  limeongeza muda  uliokuwa umepangwa na uongozi wa shirika hilo kwa ajili  ya kuanza kazi zake.

Safari zake za kimataifa zimepangwa kaunza upaya ifikapo Juni  4 mwaka 2020.

Mudda uliokuwa umepangwa kwa ajili ya  kuanza safari, shirika hilo limesema kwamba safari rasmi zitaanza Juni 10 kinyume na ilivyokuwa imetangazwa kuwa ziataanza Jun 4.

Shirika hilo la  ndege la Uturuki lilitangza kusitissha safari zake za kimataifa kutokana na maambukizi ya virusi vya corona , safari zote za ndege zilikuwa zimesitishwa ispokuwa safari za ndege za mizigo.

Taarifa hiyo imeendelea kusema kuwa  hata safari za ndege zilikuwa  zimefungwa na sasa  ikifahamishwa rasmi kwamba zitafunguliwa mwanzoni mwezi Juni.

Uamuzi uliochukuliwa na Uturuki ni sawa na maamuzi  yaliochukuliwa na mataifa mengine Ulimwenguni.

Hakuna  begi la aina yeyote ambalo litakuwa  kiliingia na abiria, mikoba yote itakuwa ikiwekwa katika mizigo.
 Habari Zinazohusiana