Shirika la TIKA la Uturuki latoa msaada kwa familia  3000 nchini Afghanistani

Shirila la Uturuki la kutoa msaada katka matukio ya dharura TİKA limetoa msaada kwa  familia 3000 nchini Afghanistani

1421797
Shirika la TIKA la Uturuki latoa msaada kwa familia  3000 nchini Afghanistani


Shirila la Uturuki la kutoa msaada katka matukio ya dharura TİKA limetoa msaada kwa  familia 3000 nchini Afghanistani.

Shirila  TİKA la Uturuki limetoa msaada kwa familia  3000 nchini Afghanistani , msaada huo ni umefahamishwa kuwa chakula kwa familia zisizokuwa na uwezo.

Msaada huo kabla ya kukabidhiwa walengo, shirika hilo la TİKA limekadhi katika uongozi wa gavana wa jiji la Kabul.

Serikali ya jiji la Kabu imetoa msaada huo wa famila  hizo 3000 , familia zilizolengwa ni familia ambazo  zimeathirika kwa kiasikiubwa na    hatua iliochukuliwa kutokana na jitihada a kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.

Afghanistani , kama mataifa mengine nayo ilitangza marufuku ya kutotoka nje kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya corona.

Kwa upande mwingine,  shirika la TİKA limetoa msaada wa vifaa vya matibabu kwa wizara ya  afya  katika zoezi la kupambana na covid-19.

Barakoa,  vitakasa mikono kwa kuangamiza vimelea pia vimetolewa kwa familia  1 500  katika mikoa tofauti ya Afghanistani.Habari Zinazohusiana