Rais Erdoğan azungumza na rais wa Irak

Rais wa Uturuki azungumza kwa njia ya simu na rais wa Irak

1422206
Rais Erdoğan azungumza na rais wa Irak


Rais wa Uturuki azungumza kwa njia ya simu na rais wa Irak.

Recep Tayyıp Erdoğan azungumza na rais wa Irak Berham Salih kwa njia ya simu kuhusu ushirikiano.

Katika mazungumzo yao kwa njia ya simu, marais hao wawili wamejadili kuhusu  ushirikiano kati ya mataifa yao mawili Uturuki na Irak, hali inayoendelea katika Ukanda  na mapambano kwa ushirikiano dhidi ya virusi vya corona.Habari Zinazohusiana