Shirika la   waturuki waishio ugenini  YTB latoa msaa nchini Marekani

Shirika la  taasisi ya waturuki waishio ugenini YTB  kwa ushikiano na tawi lake nchini Marekani limetoa msaada  kwa waathirika wa virusi vya corona

1419415
Shirika la   waturuki waishio ugenini  YTB latoa msaa nchini Marekani


Shirika la  taasisi ya waturuki waishio ugenini YTB  kwa ushikiano na tawi lake nchini Marekani limetoa msaada  kwa waathirika wa virusi vya corona .

Kiwango kikubwa cha msaada uliotolewa  kimewalenga waislamu walioaathirika vikali na maambukizi ya virusi vya corona.

Taasisi hiyo ya waturuki waishio ugenini  ikiungwa mkono katika harakati zake na serikali imekuwa ikitoa msaada katika mataifa tofauti ulimwenguni kwa watu ambao wanahitaji msaada.

Katika kipindi hiki cha kukabiliana na virusi vya corona, YTB imetpoa msaada katika mataifa tofauti  kama ishara ya ushirikiano katika kipindi kigumu.

Kamati ya TASC  , Kamati ya ushirikiano kati ya Uturuki na Marekani  imetoa msaada wa mwezi mzima kwa watu  wenye kuhitaji usaidi Marekani, msaada wa barakoa na vimiminiko vya kuangamiza  vimelea.

YTB na TASC imetoa pia  msaada wa chakula  na vşfaa vingine mahitaji katika kupambana na maambukizi ya virusi  vya corona kwa waislamu Marekani.
 

 Habari Zinazohusiana