Leo Katika Magazeti

Leo Katika Magazeti

1406030
Leo Katika Magazeti

El País (Uhispania): Waziri mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez aomba  maeneo yanayojitegemea kuimarisha sekta ya afya.

Infobae (Argentina):  jopo la wanasayansi nchini Uhispania yafanya utafiti kuhusu ugunduzi wa virusi vya corona.

La Nación (Argentina):  Vifo vya   kutokana na virusi vya corona  vyapungua nchini Uhispania na kufikia watu  288 kwa siku.

Elşarq elawsat: mtu mmoja afariki kwa virusi vya corona na kesi mpya  57 nchini Irak.

Elquds:   watu 10 wafariki kwa virusi vya corona na wengine  215 wagunduliwa kuwa na virusi vya corona baada ya kufanyiwa vipimo.

Le Parisien: (Ufaransa)  Shule kufunguliwa Mei 11

Le Monde: Ufaransa na idadi ya watu waliopo katika vyumba vya matibabu maalumu.
Le Soir: faini zaidi ya  60 000  nchini Ubelgiji kwa watu waliokiuka agizo la kutotoka nje katika kipindi cha zuio kwa ajili ya corona.

Zeit Online:  Ulayo kuondoa hatua kwamhatua marufuku ya kutotoka nje.

Die Welt: Rais wa Ujerumani asema kuwa bado vifo   vitaendelea kutokea kutokana na virusi vya corona.

DW: Netanyahu:  Hakuna shaka Marekani  itaunga mkono  kuhujumu Ukingo wa Magharibi.
 ‘Kommersant’:  Urusi yarejea katika nafasi yake ya  5 ya matumizi katika sekta yake ya ulinzi.

vesti.ru:  Urusi haina tatizo na uhaba wa mafuta katika soko lake.

TASS:  watu  31 wamefariki kutokana na virusi vya  mjini Mosco ndani ya masaa 24.Habari Zinazohusiana