Tetemeko la ardhi nchini Indonesia

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1limetokea katika eneo la Maluku Kaskazini mwa Indonesia.

1392402
Tetemeko la ardhi nchini Indonesia

Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.1limetokea katika eneo la Maluku Kaskazini mwa Indonesia.

Mamlaka ya hali ya hewa  ya Indonesia (BMKG) imetangaza kwamba tetemeko la ardhi limetotokea kilomita 122 kaskazini magharibi mwa mji wa Jailolo katika mkoa wa Magharibi wa Halmahera.

Imeripotiwa kuwa tetemeko hilo limefikia kina cha kilomita 10.

Hakuna taarifa kamili iliyotolewa kuhusu mtu kupoteza maisha au uharibifu wa mali.

Onyo la Tsunami halikutolewa baada ya tetemeko

Watu 36 walikufa katika tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.8 lililotokea mnamo Septemba 26 huko Ambon, Maluku.Habari Zinazohusiana