Idadi ya vifo kutokana na pombe yaongezeka nchini Iran

Idadi ya watu waliofariki baada ya kunywa pombe kwa wingi wakiwa na imani ya kujikinga dhidi ya corona yazidi kuongezeka.

1392398
Idadi ya vifo kutokana na pombe yaongezeka nchini Iran

Idadi ya watu waliofariki baada ya kunywa pombe  kwa wingi wakiwa na imani  ya kujikinga dhidi ya corona yazidi kuongezeka.

Idadi ya watu waliofariki baada ya kunywa pombe nyingi hadi kuwa sumu  wakiwa na imani kuwa ni kinga dhidi ya virusi vya corona imezidi kuongezeka.

Idadi hiyo imeripotiwa kufikia watu  339.

Kiongozi wa kitengo cha dharura nchini humo Mohammed Jawad Muradiyan akizungumza na kituo cha habari cha IRNA amesema kuwa idadi ya watu waliolazwa hospitalini imeongezeka na kufikia 719 toka Machi tarehe 6.

Badhi wamelazwa katika vyumba tofauti kwaajili ya kupewa tiba maalumu.

 Habari Zinazohusiana