Çavuşoğlu: "Waziri wa  mambo ya nje wa Uhispania  atupilia mbali  tuhuma dhidi ya Uturuki"

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki asema kwamba waziri wa mambo ya nje wa Uhispania atupilia mbali tuhuma dhidi ya Uturuki

1392035
Çavuşoğlu: "Waziri wa  mambo ya nje wa Uhispania  atupilia mbali  tuhuma dhidi ya Uturuki"


Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki asema kwamba waziri wa mambo ya nje wa Uhispania atupilia mbali tuhuma dhidi ya Uturuki.

Mevlüt Çavuşoğlu , waziri wa mambo ya nje wa Uturuki afahamisha kuwa waziri wa mambo ya nje wa Uhispania ametupilia mbali tuhuma dhidi ya Uturuki na kuipongeza   kwa ushirikiano wake.

Waziri wa  mambo ya nje wa Uturuki  amekumbusha  moja kwa moja  katika mahojiano  kuwa waziri wa mambo ya nje  wa Uhispania Arancha Gonzalez  Laya  ametupilia  mbali  tuhuma dhidi ya Uturuki na  kuipongeza kwa  ushirikiano wake .

Çavuşoğlu amezungumzia  taarifa iliochapishwa katika vyombo vya habari  nchini Uhispania  kuhusu  vifaa vya kupumlia  vilivyonunuliwa kwa shirika la moja la Uturuki.

Katika mahojiano hayo  waziri wa mambo ya nje wa Uturuki ametolea wito  mashirika ya Uturuki  kutosaini makubaliano na mataifa mengine bila ya ushirikiano na wizara ya afya.
 Habari Zinazohusiana