Hospitali yafungwa baada ya kunguduliwa bomu lenye uzito wa  kilo 250

Nchini Ujerumani hospitali yafungwa baada ya  kugunduliwa bomu lenye uzito wa kilo  250

1390231
Hospitali yafungwa baada ya kunguduliwa bomu lenye uzito wa  kilo 250


Nchini Ujerumani hospitali yafungwa baada ya  kugunduliwa bomu lenye uzito wa kilo  250.

Bomu lenye uzito wa kilo  250 lagundliwa  katika hospitlai moja nchini Ujerumani, bomu hilo  kulinga na taarifa  iliotolewa kabla ya uchunguzi, bomu hilo ni miongoni mwa silaha ambazo zilitumiwa katika vta vya pili vya dunia.

Bomu hilo limegunduliwa wakati wakiendelea ujenzi karibu na chuo kikuu cha hospitali hiyo mjini Bonn Rhenania-of-North Wesphalia.

Vyombo vya habari nchini Ujerumani vimefahamisha kuwa wagonjwa  213 wakiwemo 69 waliokuwa katika matibabu maalumu wamepelekwa katika hospitali nyingine mjini humo.
 Miongoni mwa wagonjwa wamo ambao waliogunduliwa wakiwa na virusi vya corona.
 Habari Zinazohusiana