Mlima volkano wa Merapi walipuka nchini Indonesia

Milipuko 3 imetokea katika milima ya volcano iliyopo katika visiwa vya Java huko nchini Indonesia

1386616
Mlima volkano wa Merapi walipuka nchini Indonesia

Milipuko 3 imetokea katika milima ya volcano iliyopo katika visiwa vya Java huko nchini Indonesia.

Kwa mujibu wa habari iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Metro, mlipuko wa mwisho uliotokea katika mlima moto wa Merapi uliopo katika mji wa Yogyakarta uliotokea mnamo saa 05.21 na ulidumu kwa muda wa sekunde 180.

Mamlaka katika eneo hilo walifahamisha kwamba mlima huo ulirusha lava umbali wa kimo cha mita elfu 2.

Kwa upande mwingine mlipuko wa mlima moto ulitokea katika eneo la Magelang ulipelekea kunyesha kwa mvua ya majivu katika eneo hilo.

 Habari Zinazohusiana