Coronavirus/Kalın : "Tuoneshe busara  dhidi  ya Covid-19"

Msemaji wa ikulu  Ankara atoa wito wa kuonesha busara  katika kupamabana  na virusi vya corona

Coronavirus/Kalın : "Tuoneshe busara  dhidi  ya Covid-19"


Msemaji wa ikulu  Ankara atoa wito wa kuonesha busara  katika kupamabana  na virusi vya corona.

Msemaji wa ikulu Ibrahim Kalın atoa wito wa kuonesha busara na kusema kuwa binadamu ana akili na nguvu kuliko virusi akimanisha kuwa  watu watumia busara ili kuepuka maambukizi.

Kalın amesema kwamba jambo muhimu  kwa sasa ni  kuhakikisha hatua zilizochukuliwa  zinaheshimiwa na kuzuia maambukizi.

Msemaji huyo wa ikulu amembusha  umuhimu pia wa kujitenga na kujizuia kutoka nje.

Kalın amesisitiza  watu  kuwa wenye busara  kwa kuwa binadamu ni kiumbe  mwenye akili , tubaki majumbani mwetu kuwalinda wenzetu na familia zetu na maambukizi.

Waziri wa mawasiliano wa Uturuki Fahrettin Altun amepeperusha ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter hatua zote muhimu  zilizochukuliwa katika zoezi la kupambana na virusi vya corona.Habari Zinazohusiana