Wito wa kusitishwa mapigano ulimwenguni kutokana na virusi vya corona

Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusitishwa mapigano katika maeneo ya vita kote ulimwenguni ili kurahisisha  makabaliano dhidi ya Covid-19

Wito wa kusitishwa mapigano ulimwenguni kutokana na virusi vya corona


Umoja wa Mataifa watoa wito wa kusitishwa mapigano katika maeneo ya vita kote ulimwenguni ili kurahisisha  makabaliano dhidi ya Covid-19.

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito wa kusitishwa  mapigano katika maeneo yote ambayo yanaripotiwa kuwa na mapigano ili kuhakikisha makabiliano  dhidi ya Covid-19  yatatoa matunda.

Wito huo umetolewa kwa mundi yote hasimu kusitisha mapigano ili kukabiliana inavyostahili dhidi ya virusi hivyo hatari ambavyotayari vimekwishasabaisha maafa ulimwenguni.

Katika mkutano  na waandishi wa habari uliofanyika kwa njia ya video, Guterres amesema kuwa kuna umuhimu  mkubwa kusitisha mapigano  na kuokoa maisha ya watu wasiokuwa na hatia waliozuiliwa katika maeneo yalio na mapigano.Habari Zinazohusiana