Tahadhari ya uvumi kuhusu Covid-19 katika mitandoa ya kijamii

"Fahrettin Altun: Habari kuhusu Covid-19 katika mitandao ya kijamii ni hatari kuliko virusi vyenyewe "

1383287
Tahadhari ya uvumi kuhusu Covid-19 katika mitandoa ya kijamii

 

"Fahrettin Altun: Habari kuhusu Covid-19 katika mitandao ya kijamii ni hatari kuliko virusi vyenyewe ".

Muhusikwa  katika katika kitengo cha mawasiliano nchini Uturuki Fahrettin Altun awatahadharisha raia na habari kuhusu virusi vya corona vinazotolewa katika mitandoa ya kijamii na kusema kwamba habari hizo ni hatari kuliko virusi vyenyewe. 

Altun ameomba raia kufuatilia habari zinazotolewa na kurasa  rasmi zinazohusika na habari kuliko kuamini kila kinachopeperushwa katika mitandoa ya kijamii.  

Altun ametoa ujumbe huo kupitia video na kukumbusha uhatari wa virusi hivyo.

Fahrettin Altun amesema kuwa watu wanatakiwa kuwa makini na kuepuka taarifa zinzopeperushwa  katika mitandoa ya kijamii katika kurasa zisizokuwa rasmi.

Kwa mujibu wa Altun, taarifa hizo ni hatari kuliko virusi vyenyewe.Habari Zinazohusiana