Umoja wa Mataifa watuma misaada Idlib

Malori 26 ya Umoja wa Mataifa yaliyosheheni vifaa vya misaada yatumwa Idlib

1367579
Umoja wa Mataifa watuma misaada Idlib

Umoja wa Mataifa umetuma malori 26 yaliyosheheni vifaa vya misaada ya kibinadamu kwa mji wa Idlib nchini Syria.

Malori hayo 26 yaliyobeba vifaa vya misaada yalivuka mpaka wa Cilvegözü eneo la Reyhan huko Hatay.

Vifaa hivyo vya misaada vitagawanywa kwa watu wenye mahitaji katika vijiji vya Idlib.

 Habari Zinazohusiana