Wanajeshi wawili wa Uturuki wauawa katika shambulizi la anga Idlib

Wanajeshi wawili wa Uturuki wauawa katika shambulizi la anga lililoendeshwa Idlib nchini Syria

1363729
Wanajeshi wawili wa Uturuki wauawa katika shambulizi la anga Idlib


Wanajeshi wawili wa Uturuki wauawa katika shambulizi la anga lililoendeshwa Idlib nchini Syria.

Jeshi la Uturuki lashambuliwa Idlib na kupelekea vifo vya wanajeshi wawili.

Sio shambulizi la kwanza wanajeshi wa Uturuki kulengwa kwa makombora  Idlib na kusababisha maafa nchini Syria.

Wizara ya ulinzi ya Uturuki imefahamisha kuwa wanajeshi wake wawili wameuawa katika shambulizi hilo na wengine watano wamejeruhiwa Idlib nchini Syria.

Wanajeshi hao walioshambulizi walikuwa katika kituo  cha ulinzi ambacho kilifunguliwa kwa ajili ya kuhakikisha kusitishwa kwa  mapigano baaada ya kusainiwa makubaliano .
 Habari Zinazohusiana