Watu wawili wafariki kutokana na virusi vya corona nchini Iran

Watu wawili waripotiwa kufariki kutokana na virusi vya corona nchini Iran

1362918
Watu wawili wafariki kutokana na virusi vya corona nchini Iran


Watu wawili waripotiwa kufariki kutokana na virusi vya corona nchini Iran.

Watu wawili waripotiwa kufariki katika  mji wa Kum nchini Iran kutokana na virusi vya corona.

Kiyanuş Cihanpur, muhusika wa  kitengo cha afya nchini Iran katika mji wa Kum  ametoa ujumbe kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa watu wawili wamefariki kutokana na virusi vya corona nchini Iran tangu kuanza kwake nchini China mwishoni mwa mwaka  2019.Habari Zinazohusiana