Tume kutoka Uturuki yawasili Moscow kwa ajili ya mzungumzo kuhusu Idlib

Tume kutoka Uturuki ambayo inaongozwa na Sedat Onal yawasili mjini Moscow kwa ajili ya mazungumzo kuhusu Idlib

1361633
Tume kutoka Uturuki yawasili Moscow kwa ajili ya mzungumzo kuhusu Idlib


Tume kutoka Uturuki ambayo inaongozwa na Sedat Onal yawasili mjini Moscow kwa ajili ya mazungumzo kuhusu Idlib.

Tume  kutoka Uturuki ambayo inaongozwa na makamu wa waziri wa mambo ya nje Sedat Onal amewasili mjini Moscow nchini Urusi kwa ajili ya mazungumzo kuhusu Idlib.

Tume hiyo kutoka Uturuki itazungumza na  tume maalumu ya Urusi.

Taarifa kuhusu mazungumzo kati ya tume hizo kutoka Uturuki na Urusi   imethibitishwa na  vyanzo vya kidiplomasia kutoka   katika ofisi za waziri wa mambo ya nje ya Uturuki na Urusi.

Hali iliopo Idlib nchini Syria itajadiliwa kwa  kirefu hasa baada ya kushambuliwa kwa  wanajeshi wa Uturuki.

Makubaliano ya Sochi  ya mwaka  2018  yatajadiliwa pia ili kuhakikisha  usalama  unarejea Idlib kama ilivyosainiwa.
 Habari Zinazohusiana