Waziri wa ulinzi wa Uturuki azungumza na Parly kuhusu Libya na Syria

Waziri wa ulizi wa Uturuki Hulusi Akar aungumza na  mawaziri wa ulinzi wa Ufaransa na Uingereza

Waziri wa ulinzi wa Uturuki azungumza na Parly kuhusu Libya na Syria
Akar.jpg


Waziri wa ulizi wa Uturuki Hulusi Akar aungumza na  mawaziri wa ulinzi wa Ufaransa na Uingereza.

Hulusi Akar, waziri wa ulinzi wa Uturuki Hukusi Akar azungumza na waziri wa ulinzi wa Ufaransa na waziri wa ulinzi wa Uingereza kuhusu hali iliopo nchini Libya na Syria.

Mazungumzo kati ya mawaziri hayo yaligupikwa na suala zima kuhusu ushirikiano katika sekta ya ulinzi na utengenezaji wa silaha.

Vilevile  hali inayoendelea katika ukanda , Syria na Libya ilijadiliwa na mawaziri hao.

Waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar amezungumza na Ben Wallace na Florence Parly.

Mazungumzo kati ya mawaziri hao yamefanyika  baada ya mkutano wa NATO uliokuwa ukifanyika mjini Brussels.
 Habari Zinazohusiana