Waziri wa ulinzi wa Uturuki  azungumza na waziri wa ulinzi wa Makedonia Kaskazini

Hulusi Akar, waziri  wa ulinzi wa Uturuki  azungumza na waziri wa ulinzi wa Makedonia  mjini Bruxels

Waziri wa ulinzi wa Uturuki  azungumza na waziri wa ulinzi wa Makedonia Kaskazini


Hulusi Akar, waziri  wa ulinzi wa Uturuki  azungumza na waziri wa ulinzi wa Makedonia  mjini Bruxels.

Nje  na mkutano wa  jeshi la muungano wa kujihami Magharibi NATO, waziri wa ulinzi wa Uturuki Hulusi Akar amezungumza na waziri wa ulinzi wa Makedonia Kaskazini Radmila Shekerinksa .

Mkutano huo wa NATO umefanyika  mjini Bruxels nchini Ubelgiji.

Akar amezungumza na viongozi tofauti walioshiriki katika mkutano huo wa siku mbili mjini Bruxels.

Mazungumzo kati ya viongozi  hao wawili yamegubikwa  na masuala ya usalama  kati ya Uturuki na  Makedonia.
 Habari Zinazohusiana