Rais wa Uturuki kufanya ziara nchini Pakistani Februari 14

Kulingana na taarifa iliotolewa na baraza la mawasiliano  ikulu, rais Erdoğan atakutana na kuzungumza na  Imran Khan

Rais wa Uturuki kufanya ziara nchini Pakistani Februari 14

Kulingana na taarifa iliotolewa na baraza la mawasiliano  ikulu, rais Erdoğan atakutana na kuzungumza na  Imran Khan mjini Islamabad, ushirikiano  kati ya Uturuki na  Pakistani pia utajadiliwa  katika mazungumzo yao.
Katika ziara hiyo , rais wa Uturuki atazungumza na  rais wa Pakistani rif Alvi.
Suala zima kuhusu hali iliopo katika ukanda itazungumziwa.

Rais Recep Tayyıp Erdoğan atarajiwa kufanya ziara rasmi nchini Pakistani   kati ya Februari 13 na 14.

Rais wa Uturuki atarajiwa kufanya ziara rasmi nchini Pakistani ifikapo Februari 13.

Ziara hiyo ya rais wa  Uturuki itachukuwa muda wa siku mbili.

Ziara hiyo ya rais  Erdoğan itakuwa ziara yake ya nne nchini humo.

Rais Erdoğan atahotubia katika bunge la Pakistani katika ziatra yeka hiyo.

Spika wa bunge la Pakistani, Asad Qaiser amethibitisha kuwa rais Erdoğan atahotubia  katika baraza la seneti na bunge katika ziara yek hiyo nchini Pakistani.

Rais Erdoğan amefanya ziara yake ya kwanza nchini Pakistani mwaka  2009, ya pili mwaka  2012 na ya tatu mwaka  2016.Habari Zinazohusiana