Hali halisi ya watu wasiokuwa na malazi Ujerumani

Hali halisi ya watu wasiokuwa na malazi Ujerumani

1357440
Hali halisi ya watu wasiokuwa na malazi Ujerumani

malazi, rafiki wa kike na kazi ...
wakati ulipita, Michael nlikuwa hivyo 
ila niliharibikiwa bila yamkutarajiwa kwa sababu tofauti
ulifukuzwa kazi wakati ambapo alikuwa akipambana na  matumizi ya dawa za kulevya
mpenzi wake pia alimkimbia
na baadae alijipata mtaani  bila malazi
na hilo ni miaka  6 sasa
hali hiyo ilitokea kwa muda mchache sana huwezi hata kuamini
ndivyo hivyo ilivyo kila mtu ana historia yake
mimi pia ningependa niwe na nyumba
kazi, marafiki na familia
unaweza kujipata mtaani kwa kukosea japo kidogo 
ina skitisha kabisa
Michael ana umri wa miaka 30 na ana matumaini 
maisha yake kuwa mazuri 
nchini Ujerumani watu zaidi ya  600 000 hawana malazi
na kwa uchache watu  zaidi ya  4000 wanalala mabarabarani  
hakuna suluhisho  la tatizo hilo na iwapo serikali haitoingilia kati 
idadi ya watu kama hao inaweza kuongezeka
Seneta mmoja mjini Berlin amesema kuwa  anafuatilia sauala hilo  na kulipatia  suluhu
Yote sio serikali pekee inayohusika
Tuna kiiwango cha Euro milioni 8,5 katika bajeti yetu 
na kiwango hicho kinaongezeka pia
ni wazi kuwa tutachukuwa hatua mpya
na kuanzisha vituo vipya  kwa ajili ya watu kama hao
Berlin watu zaidi ya  36 000 tayari wamepewa malazi
ila watu hao hawatolaazimishwa na serikali bali kwa hiari yao
shirika la misaada ya kijamii la Ujerumani limefahamisha hayo
na kusema kuwa vituo vya malazi havitoshi idadi bado ni kubwa.
kulingana na mashirika hayo, kunahitajika majumba zaidi ya  150 000 kwa mwaka
ili kupatia ufumbuzi wa moja kwa moja
maisha ya mtu asiekuwa na malazi sio rahisi
matusi na unyanyapaa ni kawaida kwao
naketi hapa na kuomba kwa utulivu kama watakuwa na moyo
kununua magazeti yanayouzwa na watu wasiokuwa na malazi
 hajalazimishwa mtu
watu wanaonifukuza kwa matusi
ondoka , unanuka
wapo wanaonitemea mate na kunirushia machupa
serikali haiwajali watu wasiokuwa na malazi
msaada pekee unaweza kuwa fuko la mtu ambae hana ajira
ila hilo  bado ni kizungumkuti , haitoshi
tatizo hilo linaendelea kuwa sugu
wengi kama Michael  bado wameacha mtaani
wakiomba omba kujipatia mkati wao
 Habari Zinazohusiana