Mtoto mchanga wa siku 1 apatikana na virusi vipya vya Corona

Katika mji wa Wuhan huko nchini China mtoto mchanga mwenye umri wa masaa 30 apatikana na virusi vipya vya Corona

Mtoto mchanga wa siku 1 apatikana na virusi vipya vya Corona

Katika mji wa Wuhan huko nchini Chinamtoto mchanga wa masaa 30 aliyezaliwa na mama aliyekuwa na virusi vya Corona naye amepatikana na virusi hivyo imethibitika.

Kwa mujibu wa habari iliyotolewa na shirika la habari la Xinhua, wataalamu wanasema kesi hiyo inamaanisha kwamba mtoto huyo aliambukizwa wakati wa ujauzito, wakati wa kujifungua au baada ya kujifungua “vertical transmission”.

Kesi hio imeingikia kwenye rekodi kama mtoto mdogo zaidi aliyeambukizwa virusi vipya vya Corona.Habari Zinazohusiana