Maandamano nchini Ufaransa

Maandamano nchini Ufaransa

1346848
Maandamano nchini Ufaransa

waandamanaji mjini Paris wameingia mabarabarani  wakiwa na vijinga vya moto mikononi kama ishara ya kupinga  mabadiliko ya rais Macron  na mashirika ya wafanyakazi
Maandamano kama hayo yamefanyika katika miji mingine tofauti.

Waziri mleule katika wizara ta mambo ya ndani Laurent Nunez  amejibu  kuhusu  ghasia na madhila  dhidi ya maandamano.

Laurent Nunez  amesema kuwa Polisi sio waliofanya ghasia bali walitumwa kuzuia ghasia na kujibu iwapo watashambuliwa. 

Ghasia na ukatili  unaonedeshwa na Polisi ni jambo linalokubalika.

Polisi hufanya hivyo pindi wanaposhambuliwa  mtu mmoja ameuawa katika maandamano  huku wengine zaidi ya  31 wamepoteza viungo, kwa ujumla watu zaidi ya 500 wamejeruhiwa.
 Habari Zinazohusiana