Mkurugenzi wa  taasisi ya YTB Uturuki azungumza kuhusu udhamini wa masomo

Mkurugenzi wa taasisi ya YTB Uturuki amezungumzia kuhusu udhamini wa masomo  Bulgaria

Mkurugenzi wa  taasisi ya YTB Uturuki azungumza kuhusu udhamini wa masomo


Mkurugenzi wa taasisi ya YTB Uturuki amezungumzia kuhusu udhamini wa masomo  Bulgaria.

Abdullah Eren, mkurugenzi wa taasisi ya YTB, taasisi ambayo inahusikana na udhamini wa masomo kwa wanafunzi kutoka katika mataifa tofauti nchini Uturuki amezungumzia kuhusu udhamini  Bulgaria.

Ni zaidi ya miaka matano kwa sasa taasisi hiyo inatoa udhamini wa masomo kwa wanafanuzi zaidi ya  4000 katika udhamili na viwango tofauti katika elimu ya juu.

Abdullah Eren akiwa nchini Bulgaria amezungumza taasisi anayoongoza YTB Uturuki. Katika chuo kikuu cha Kostantin kwanza   mhadhiri wa chuo hicho Daktari Georgi Kolev amempokea kwa heshima na kuzungumza.

Taasisi ya YTB imepokea maombi  ya watu zaidi  kutoka  vyuo takriban  126 na maombi zaidi ya 208 katika vyuo vingine.

Mataifa zaidi ya  170 , wanafunzi  huomba udhamini wa masomo nchini Uturuki.
Mkurugenzi Eren ameonesha  ubora wa elimu ya juu nchini Uturuki na manufaa yake kwa wanafunzi pindi watakapohitimu masomo yao.

Jambo muhimu  kwa wanafunzi tunalotilia maanani ni uwezo wa mwanafunzi  kufaulu kwake na huwa hatuangalii asili yake wala imani.Habari Zinazohusiana