Leo Katika Magazeti

Leo Katika Magazeti

Leo Katika Magazeti

Alsharq Alawsat (Saudia na Uingereza):  Waziri mkuu wa Iran, hali ya ushirikiano  na mataifa jirani hatiani.

Al-Raya Al-Katariya (Katar):  Watu 12 wameuawa Idlib  wakiwemo watoto 7 kutoka katika familia moja.

Al-Mustakbal (Lebanon ): Maandamano dhidi ya serikali yaendelea nchini Lebanon , idadi ya waandamanji mjini Beyruth yazidi kuongezeka kila kukicha.

Die Welt:  suala zima kuhusu mabadiliko ya hal ya hewa  kuzungumziwa pia katika mkutano wa Davos.

Süddeutsche Zeitung:  usitishwaji wa mampigano nchini Libya,  mashua za uchimbaji mafuta zazuiwa.

Deutsche Welle: rais wa Urusi Vladimir Putib  na serikali mpya ya waziri mkuu Mikhail Mishustin.

Le Figaro (Ufaransa): uhamiaji :  watu zaidi ya  1320000 wameomba hifadhi nchini Ufaransa mwaka  2019.

Le Monde (Ufaransa): Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na maamuzi kuhusu kodi katika mashirika tofauti.

Le Temps (Uswisi):  Umoja wa Mataifa waendelea kushawishi pia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano nchini Libya.

El País: (Uhispania) mishahara yaongezwa kwa asilimia  
 kwa wafanyakazi wa serikali  Uhispania.

El Mundo: (Uhispania)  Waziri wa fedha wa Uhispania  Mario Jesus Montero  asema kwamba serikali inakaribia kufikia malengo yake iliojiwekea katika bajeti yake  ya mwaka.

TeleSur: (Venezuela)  serikali ya Venezuela  yakanusha  tuhuma kuwa  kiongozi wa upinzani Juan Guaido ameondolewa.

İzvestiya’:   serikali  ya Urusi  yapokea vijana katika uongozi.

 Lenta.ru:  Rais Putin ahakikisha kuwa serikali mpya  malengo yake ni maisha bora kwa raia wote.

 TASS:  Moscow Januari  ya mwaka huu itakuwa na joto kali.Habari Zinazohusiana