Leo Katika Historia

Leo Katika Historia

Leo Katika Historia

Januari 22 mwaka  1517, mapigano ya Ridaniya  kati ya jeshi la Himaya ya Uthamnai na na uongozi wa Mamluki uliokuwa nchini Misri na Syria.
Januari 22 mwaka  1517, mapigano ya Ridaniya kati ya jeshi Uthmania na Uongozi wa  Mamluki Misri na Syria . Licha ya kuwa  sultani wa Mamluki alishindwa katika mapigano hayo na kujaribu  kulinda uongozi wake na kuondoka katika maeneo  kadhaa katika ardhi yake,  Sultani wa Uthmania  Selim wa Kwanza  aliingia Kairo  mji  mkuu wa Misri kwa tamasha.  Baada ya ushindi huo uongozi wa Mamluki ulimalizika na Misri kujiunga na Himaya ya Uthamania. Uongozi wa kihalifa ukawa Himaya ya Uthmania.
Januari 22 mwala  1666,  mfaşme mashuhuri wa India kwa jina la Shah Jahan aliaga dunia Agra akiwa na umri wa  miaka  74.  Miongoni miongoni mwa  wahandisi wa miundombinu  katka historia ya ujenzi. Taj Mahal  ilijengwa na Shah Jahan kwa ajili ya mkewe Mumtaza Mahal. Shah Janah  alizikwa Taj Mahal   pembezoni mwa kaburi la mwenzawake.
Januari 22 mwaka 1984  tangazo la biashara la shirika la utengenezaji wa kompyuta za kibiaashara "Apple Macintosh" ilikuwa mabadiliko makubwa katika uliwengu wa teknolojia. Tangazo lake lilikuwa likichukuwa muda wa dakika moja na kuoneshwa katika runinga lilivunja rikoti. 
 Habari Zinazohusiana