Makombora yalenga eneo lenye ulinzi mkali mjini Baghdad

Makombora yashambulia enepo  lenye ulinzi mkubwa mjini Baghdad

Makombora yalenga eneo lenye ulinzi mkali mjini Baghdad


 Makombora yashambulia enepo  lenye ulinzi mkubwa mjini Baghdad.

Eneo lenye ulinzi mkali mjini Baghdad  nchini Irak lashambuliwa kwa makombora .

Mashambulizi  hayo yameathiri pia ofisi za umma mjini Baghdad.

Wizara ya mambo ya ndani ya Irak imefahmisha kuwa  makombora matatu aina ya Katisha  yameathiri eneo ambalo ulinzi wake ni hali ya juu.

Hakuna yeyote ambae ameripotiwa kujeruhiwa.

Ifahamike kuwa makombora kadhaa yamekwishalenga jengo la ubalozi wa Marekani mjini Baghdad.
 


Tagi: Baghdad , Irak

Habari Zinazohusiana