Facebook kutoa ajira kwa watu 1000

Jukwaa la mtandao wa kijamii Facebook limetangaza kwamba ndani ya mwaka huu wataajiri watu elfu 1 kwa ajili ya ofisi yao ya Uingereza

1344963
Facebook kutoa ajira kwa watu 1000

Jukwaa la mtandao wa kijamii, Facebook limetangaza litatoa ajira kwa wafanyakazi elfu 1 kwa ajili ya ofisi yao ya Uingereza.

Katika tangazo lililotolewa na Facebook imearifiwa kwamba ndani ya mwaka 2020 ajira zitatolewa kwa watu 1000 nchini Uingereza.

Nyingi ya ajira hizo ni katika fani ya teknolojia ya habari na mawasiliano, wakiwemo wahandisi na wabunifu.

 Habari Zinazohusiana