Uturuki yalaani shambulizi  la Houthis nchini Yemen

Uturuki kupitia wizara yake ya mambo ya nje  imekemea shambulizi la Houthis dhidi ya kambi ya jeshi Yemen

Uturuki yalaani shambulizi  la Houthis nchini Yemen


Uturuki kupitia wizara yake ya mambo ya nje  imekemea shambulizi la Houthis dhidi ya kambi ya jeshi Yemen.

Uturuki kupitia wizara yake ya mambo ya nje imelaani vikali shambulizi la wanamgambo wa Houthis  dhidi ya kambi ya jeshi la Yemen.

Taarifa iliotolewa na wizara hiyo ya mambo ya nje ya Uturuki imetolea wito pande zote mbili  nchini Yemen ikiwa serikali na wapiganaji wa Houthis kuepuka chokochoko ambazo zinaweza kuibua mzozo upya nchini humo na kusababisha maafa ya raia wasiokuwa na hatia.

Uturuki imelaani vikal shambulizi la Houthis ambalo limetajwa kupeleka vifo vya watu 70 na  kuwajeruhi wengine wangi.
 Habari Zinazohusiana