Uswizi yafuta mwaliko wa kushiriki Davos kwa waziri wa mambo ya nje wa Iran

Uswizi imeufuta mwaliko wa kushiriki mkutano wa 50 wa jukwaa la kiuchumi la dunia unaofnyika huko Davos, waziri wa mambo ya nje wa iran, Jevad Zarif

Uswizi yafuta mwaliko wa kushiriki Davos kwa waziri wa mambo ya nje wa Iran

Uswizi yafuta mwaliko wa Davos kwa Jevad Zarif, waziri wa mambo ya nje wa Iran.

Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran, Abbas Musevi akiongea na wanahabari mjini Tehran alisema Zarif alipewa mwaliko rasmi wa kushiriki mkutano wa 50 wa jukwaa la uchumi la kidunia litakalofanyika Uswizi kati ya tarehe 21-24 Januari, akafanya maandalizi yote kwa ajili ya mkutano huo lakini mwaliko wake ukafutwa baadae.

 Habari Zinazohusiana