Leo Katika Magazeti

Leo Katika Magazeti

Leo Katika Magazeti

Tageschau.de: Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan asubiriwa nchini Ujerumani Januati 19.

Deutsche Welle: Baada ya mauaji ya Jeneralİ Kassim Soleimani, bei za mafuta zaendelea kupanda.

Spiegel.de:  Jeshi la Ujerumani halitoondoka nchini Irak.

Alsharq Alawsat (Saudia na Uingereza): Iran yaitolea wito Uingereza kutoingilia masuala ya ndani  ya serikali yake.

Al-Raya Al-Katariya (Katar): Maandamano yaingia siku ya 100 tangu kuanza kwake nchini Irak.

Al-Ayam (Bahrein):  Mataifa ya Falme za kiarabu kuanzisha kituo chao cha kwanza cha nyuklia miezi minne ijayo kuanzia sasa.

RBK: Khalifa Haftar aondoka Moscow bila ya kutia saini makubaliano ya usitishwaji mapigano.
RİA Novosti:  chama madarakani nchini Urusi  Edinara Rossiya   chatupilia mabli  pendekezo kuhusu  malipo ya kodi kwa wanawake.
El Mundo Uhispania : Rais wa Uhispania  Pedro Sanchez aunda serikali  kubwa Umoja wa Ulaya kwa kuwa na  mawaziri wengi, makamu wa  rais wanne, mawaziri 18.

El País (Uhispania): kiongozi wa zamani wa Catalonia Carles Puigdemont  ameanza wadhifa wake  katika  baraza la bunge Umoja wa Ulaya wakati ambapo Uhsipania  uliwasilisha ombi la kuvuliwa  kinga aliopewa.

La Tercera (Chile): Venzuela yatupilia mbali  vikwazo.

Le Parisien:  jeshi la Ufaransa kuongeza idadi ya wanajeshi wake Sahel.

Le Monde: (Ufaransa) ruzuku za wastaafu,  Euro  milioni 500 kwa ajili ya kuongeza  mishahara  ya wafanya kazi mwaka  2021.

Le Figaro: uchunguzi dhidi ya Polisi kwa kuwanyanyasa waandamanaji mjini Paris.


Tagi: magazeti

Habari Zinazohusiana