Irak yabaki na msimamo wa kuvifukuza vikosi vya Marekani

Msemaji wa ofisi ya waziri mkuu nchini Irak amesema Irak haitorudi nyumba kuhusiana na uamuzi uliofikiwa na bunge la nchi hiyo kuvifukuza vikosi vya majeshi ya kigeni

Irak yabaki na msimamo wa kuvifukuza vikosi vya Marekani

Mamlaka nchini Irak imetangaza kwamba haitorudi nyuma kuhusiana na uamuzi uliofikiwa na bunge wa “kuvifukuza nchini humo vikosi vya jeshi la Marekani

Msemaji wa ofisi ya waziri mkuu nchini irak, Vilvam Verde alisema,

“Hakutokuwa na kurudi nyuma katika uamuzi uliofikiwa na bunge wa kuvifukuza vikosi vya Marekani nan chi nyingine vilivyopo nchini”

Kuhusiana na madai yaliyopo kwamba kuna mkataba mpya umesainiwa baina ya serikali ya Irak na Marekani unaoruhusu  Marekani iendelee kuwepo nchini humo ili kupambana na Daesh, Verde alisema,

 "Serikali haijasaini mkataba wa namna hiyo”.

 


Tagi: Marekani , Irak

Habari Zinazohusiana