Askari wawili wa Marekani wakutwa wamefariki Ujerumani

Askari wawili wa jeshi la Marekani wakutwa wamefariki katika Spangdahlem nchini Ujerumani

Askari wawili wa Marekani wakutwa wamefariki Ujerumani

Askari wawili wa jeshi la Marekani wakutwa wamefariki katika Spangdahlem nchini Ujerumani
Askari wa Mareknai wakutwa wamefariki katika kambi ya jeshi 
 ya Spangdahlem nchini Ujerumani.
Taarifa zilizotolewa na  tovuti ya Air Base Spangdahlem , askari wawili wa kikosi cha anga  cha jeshi la Marekani wamekutwa wamefariki katika  kambi hiyo Januari 9.
Sababu zilizosababisha maafa hayo bado hazijajulikati huku uchunguzi ukiendelea.
Ni zaidi ya wanajeshi 4000 wa Marekani wapo katika  kambi  hiyo nchini Ujerumani.Habari Zinazohusiana