Ngome za Marekani zashambuliwa kwa Makombora

Ngome ya Jeshi la Marekani nchini Irak yashambuliwa kwa makombora 8 ya Katyusa

Ngome za Marekani zashambuliwa kwa Makombora

Ngome ya jeshi la Marekani katika wilaya ya Salahaddin nchini Irak yashambuliwa kwa makombora 8.

Taarifa ya maandishi iliyotolewa na  jeshi la Irak inasema makombora 8 aina ya katyusha yalirushwa katika ngome ya jeshi inayohifadhi askari wa Marekani na Irak.

Katika shambulizi hilo ofisa mmoja wa Irak na wanajeshi wengine 3 walijeruhiwa.

 Habari Zinazohusiana