Ibrahim Kalın azungumza na mshauri wa usalama wa Marekani

Msemaji wa ikulu ya rais  wa Uturuki azungumza na mshauri wa usalama  wa Marekani Robert OBrien

Ibrahim Kalın azungumza na mshauri wa usalama wa Marekani


Msemaji wa ikulu ya rais  wa Uturuki azungumza na mshauri wa usalama  wa Marekani Robert OBrien.

Ibrahim Kalın, msemaji wa ikulu ya rais  mjini Ankara amezungumza na mshauri wa usalama wa Marekani Robert OBrien kwa njia ya simu.

Taarifa iliotolewa na kitengo  kinachohusika na  upashaji habari  ikulu  kimefahamisha kuwa viongozi hao wawili wamezungum za  kuhusu  hali inayoendelea nchini Syria  na Libya.

Vile vile katika mazungumzo yao wamejadili  kuhusu umuhimu wa juhudi za pamoja ili  kufaanikisha  makubaliano ya kusitishwa kwa mapigano nchini Libya.

Hali iliopo nchini Irak na Iran baada  ya mashambulizi yaliokuwa wamezua mtafaruku kupatiwa jawabu  pia ilizungumziwa.

Uturuki imepongeza kwa hatua zilizochukuliwa  kuzuia  damu kumwagiki upya Mashariki ya Kati.
 Habari Zinazohusiana