Erdoğan afanya mazungumzo na Putin

Rais wa Uturuki,  Recep Tayyip Erdoğan, azungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Urusi, Vladmir Putin

Erdoğan afanya mazungumzo na Putin

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, azungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Urusi, Vladmir Putin.

Katika mazungumzo yao mada mbalimbali ziligusiwa ukianza na masuala ya Libya, ya kikanda na ushirikiano baina ya mataifa yao mawili.Habari Zinazohusiana