Waziri wa mambo  ya nje wa Uturuki kujielekeza nchini Irak

Mevlüt Çavuşoğlu , waziri wa mambo ya nje wa Uturuki atarajiwa lufanya ziara nchini Iraq

Waziri wa mambo  ya nje wa Uturuki kujielekeza nchini Irak


Mevlüt Çavuşoğlu , waziri wa mambo ya nje wa Uturuki atarajiwa lufanya ziara nchini Iraq.

Waziri wa mambo ya   nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu atarajiwa kujielekeza nchin Irak Alkhamis ambapo anasubiriwa kuzungumza na viongozi tofauti wa  taifa hilo.

Ziara hiyo ya waziri wa mambo ya nje wa Uturuki  nchini Irak ni kwa ajili ya mazungumzo kuhusu hali inayoendelea nchini humo , hali ambayo imesababishwa na kuuawawa kwa jenerali wa jeshi la Iran Qassen Soleimani .

Jeshi la Marekani liliendesha shambulizi dhidi ya  jenerali huyo  karibu na uwanja wa  ndege wa Baghdad.

Uturuki imefahamisha kuwa  inaendelea na juhudi zake za kidiplomasia ili kusulluhisha mgogoro uliopo kati ya Iran na Marekani katika ardhi ya Irak.Habari Zinazohusiana