Rais Erdoğan awatakia Krismas njema wakristo  wote ulimwenguni

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan awatakia siku kuu njema ya Krismas wakristo wote ulimwenguni

1328723
Rais Erdoğan awatakia Krismas njema wakristo  wote ulimwenguni


Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan awatakia siku kuu njema ya Krismas wakristo wote ulimwenguni.

Rais Erdoğan amewatakia  siku kuu njema ya Krismas wakristo wote ulimwenguni  kwa kusema kwamba  ni urithi wa kitamaduni  kuheshimu  raia bila ya kujali  tofauti zao  na kuishi kwa usalama kwa kuheshimu  utamaduni, imani na desturi vile vile bila ya kujali  chimbuko .

Rais Erdoğan amewatakia wakristo siku kuu njema ya Krismas .

Kitengo kinachohusika na mawasiliano na uchapishaji habari ikulu ya rais  kimefahamisha kuwa  rais Erdoğan ametoa ujumbe  ambao unawatakia siku kuu njema ya Krismas wakristo wote ulimwenguni.

Kwa mujibu wa rais Erdoğan utoafuati wa kiimani ni moja ya utajiri wa kujivunia na jambo muhimu ni mshikamo uliopo katika jamii bila ya kujalii tofauti zilizopa katika imani.
 Habari Zinazohusiana