Msaada wa Umoja wa Mataifa nchini Syria

Umoja wa Mataifa (UN) umetuma malori 45 ya misaada ya kibinadamu huko Idlib, Syria.

Msaada wa Umoja wa Mataifa nchini Syria

Umoja wa Mataifa (UN) umetuma malori 45 ya misaada ya kibinadamu huko Idlib, Syria.

Malori 45 yakibeba misaada ya UN, yamevuka mpaka kupitia mji wa Hatay nchini Uturuki yakielekea Idlib.

Msaada huo utasambazwa kwa wale wenye uhitaji Idlin na maeneo ya vijijini.

 Habari Zinazohusiana