Rais Erdoğan azungumza na Trump

Rais wa Uturuki azungumza na rais wa Marekani Donald Trump

Rais Erdoğan azungumza na Trump

 

Rais wa Uturuki azungumza na rais wa Marekani Donald Trump.

Recep Tayyıp Erdoğan azungumza na rais Trump walipokutana katika mkutano wa jeshi la kujihami Magharibi NATO mjini London nchini Uingereza.

Mazungumzo kati ya marais hao wawili yamechukuwa muda wa nusu saa.

Marais hao wamezungumza nje ya mkutano wa NATO  mjini LOndon.

Mazungumzo kati ya rais Erdoğan na TRump yamechukuwa muda wa nusu saa bila ya wanahabari kuhudhuria .

Waziri wa mambo ya nje wa UTuruki Mevlüt Çavuşoğlu, waziri wa fedha na uwekezaji Berat Albayrak, waziri wa ulinzi Hulusi Akar,  msemaji wa ikulu Ibrahim Kalın na Binali YIldırım  walishiriki katika mkutano huo.

MKurugenzi anaehusika na mawasiliano  ikulu Fahrettin Altun ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa rais Erdoğan  amezungumza na TRump  kuhusu masuala muhimu nje ya mkutano wa NATO mjini LOndon.


Tagi: Erdoğan , TRump , NATO

Habari Zinazohusiana