Wapalestina 18 wakamatwa na jeshi la Israel Yerusalemu Mashariki

Jeshi la Israel lawakamata wapalestina 18 katika operesheni ilioendeshwa Yerusalemu Mashariki

Wapalestina 18 wakamatwa na jeshi la Israel Yerusalemu Mashariki

 

Jeshi la Israel lawakamata wapalestina 18 katika operesheni ilioendeshwa Yerusalemu Mashariki.

Wapalestina 18 wakamatwa na jeshi la Israel katika operesheni yake ilioendeshwa Yerusalemu Mashariki, moja ya maeneo ya wapalestina yaliokaliwa kimabavu na Israel tangu mwaka 1967.

Mİongozi mwa wapalestina 18 wa hao waliokamatwa kumeripotiwa pia kukamatwa watoto wawili.

Waplestina 10 wamewekwa rumande Yerusalemu Mashariki na wengine wanane Ukingo wa Magharibi wamezuiliwa bila ya tuhuma zinazowakabili kutoewa bayana na jeshi la Israel.

Watoto waliokamatwa wametajwa kuwa na umri kati ya miaka 12 na miaka 16.

Jeshi la Israel huendesha msako katika maaneo ya wapalestina na kuwakamata vijana wasiokuwa na hati huku wakituhumiwa makoso tofauti kama kuendesha matendo ya kigaidi dhidi ya Israel.

Maelfy wapalesti na wamezuiliwa katika magereza ya Israel bila ya kujali watoto na wanawake.

Idadi ya wapalestina waliozuiliwa katika magereza ya Israel inafahamishwa kuwa zaidi ya watu 5000.Habari Zinazohusiana