Taliban na mashambulizi nchini Afghanistan

Wanamgambo wa Taliban wameshambulia kituo cha polisi wilayani Biljirag

Taliban na mashambulizi nchini Afghanistan

Wanamgambo wa Taliban wameshambulia kituo cha polisi wilayani Biljirag mkoa wa Faryab wa Afghanistan, na kuwauwa walinzi wawili wa usalama.

Abdulkerim Yuris, msemaji wa Idara ya Polisi ya Faryab, amesema walinzi wote wanne wamejeruhiwa katika shambulio hilo.

Yuriş ameongeza kwa kusema kuwa wanamgambo saba wameuawa na watano kujeruhiwa katika mapigano kufuatia shambulizi hilo.

Taliban bado hawajatoa tamko rasmi kuhusu shambulizi hilo.Habari Zinazohusiana