Rais ajielekeza kushiriki mkutano wa NATO Uingereza

Rais wa UTuruki ajielekeza mjini LOndon kushiriki katika   mkutano wa  70 wa viongozi wa NATO

Rais ajielekeza kushiriki mkutano wa NATO Uingereza

Rais ajielekeza kushiriki mkutnao wa NATO Uingereza.

Rais wa UTuruki ajielekeza mjini LOndon kushiriki katika   mkutano wa  70 wa viongozi wa NATO.

Rais  Recep Tayyıp Erdoğan ajielekeza  mjini LOndon nchini Uingereza kushiriki katika mkutano wa NATO miaka 70 tangu kuundwa kwake.

Katika mkutnao huo rais Erdoğan amejielekeza akiwa na waziei wa mambo ya nje Mevlüt Çavuşoğlu,  waziri wa uwekezaji na fedha Berat Albayrak, waziri wa ulinzi  HUlusi Akar.

MKutano huo wa NATO utafanyika kuanzia Disemba  3 na kumalizika ifikapo Disemba 5.
Suala zima  kuhusu ushirikiano kati ya wanachama wa NATO litajadiliwa kwa kina kwa lengo la kuimarisha mshikamano.

Hali inayoendelea nchini Syria na Libya itajadiliwa pia.

Rais Erdoğan anatarajiwa pia kushiriki kkatika hafla ya ufunguzi wa mskiri wa  Cambridge .
 Habari Zinazohusiana